Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda
12 Septemba 2008Matangazo
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi nchini humo maandalizi yote yako tayari na waangalizi wa kimataifa kutoka jumuiya ya Ulaya wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo.Itakumbukwa kwamba Rwanda ilifanya uchaguzi wa kidemokrasia mwaka 2003 baada ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1994.
Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na mwandishi wetu wa Kigali Christopher Karenzi