1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda waingia siku ya tatu

17 Septemba 2008

Nchini Rwanda uchaguzi mkuu wa bunge leo umingia katika siku yake ya tatu ambapo ni zamu ya vijana kuchagua wawakilishi wao.

https://p.dw.com/p/FJjS
Rais Kagame wa RwandaPicha: AP

Hapo jana mweyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo Profesa Kizologi Kalangwa alitangaza matokeo ya awali yalioonesha kuwa chama tawala cha RPF kimepata viti vingi.


Mwandishi wetu wa GOMA John Kanyunyu kwa sasa yuko mjini Kigali kwa ajili ya uchaguzi huo na kutoka huko ametutumia taarifa ifuatayo.