1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa Rwanda wa Agosti una umuhimu gani kwa upinzani

Mohammed Abdulrahman Mohammed22 Juni 2017

Rwanda inapanga kuwa na uchaguzi wa Rais mwanzoni mwa mwezi wa Agosti. Tayari chama tawala Rwandan Patriotic Front-RPF, kilimuidhinisha kwa mara nyengine tena Rais Paul Kagame kuwa mgombea wake. Kagame anatarajiwa kushinda kwa kishindo huku wapinzani wakisema matokeo yameshapangwa. Katika Kinagaubaga Mohammed AbdulRahman anazungumza na mmoja wa viongozi wa chama cha FPR, AbdulKarim Harerimana.

https://p.dw.com/p/2f0ZV