You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Uganda 2021
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mtoto wa Museveni asema hatowania urais 2026
Museveni mwenyewe bado hajatangaza iwapo atawania muhuka wa 7 madarakani ifikapo 2026.
Maji ni muhimu kwa binadamu kwa kiwango gani?
karibu asilimia 80 ya mwili wa mtoto mchanga huundwa kwa maji. Tunapozeeka, kiwango cha maji katika mwili hupungua na kufikia karibu asilimia 60. Kwa haya na mengine mengi, karibu kwenye makala ya Afya yako tukiangazia umuhimu wa maji kwa mwanadamu.
Bobi Wine azinduwa maandalizi kuelekea uchaguzi wa 2026
Bobi Wine amezinduwa harakati za maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2026.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 09.08.2023
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga. Watu 9 wauawa kufuatia shambulizi la Urusi nchini Ukraine. Mvutano wa kisiasa waendelea nchini Niger.
Upinzani Uganda wataka mageuzi kwenye sheria za uchaguzi
Upinzani Uganda wataka katiba ya nchi hiyo na sheria za uchaguzi vifanyiwe mageuzi kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2026.
Matangazo Ya Mchana: 01.10.2022
Kiongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso apinduliwa madarakani na wanajeshi wenzake. Uturuki yajiunga na Mataifa mengine duniani kuilaani Urusi kwa unyakuzi wa maeneo ya Ukraine. Bolsonaro na Lula wafanya kampeni za mwisho kabla ya uchaguzi mkuu nchini Brazil.
Museveni lazima aimarishe haki za binadamu
Amnesty International imemtaka Museveni kutumia muhula wake mpya kubadili kuzorota kwa haki za binadamu nchini humo.
Wahanga wa uchaguzi waanza kuachiwa huru Uganda
Shinikizo kutoka ndani na nje ya Uganda la kuitaka serikali kuwatendea haki watu inaowashikilia baada ya uchaguzi nchini humo hatimaye kwa kiasi fulani limezaa matunda na hasa baada ya watu kutoka upinzani kuanza kuachiwa. Mengi zaidi utayasikia hapa kwenye makala ya Mbiu ya Mnyonge iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel kutoka huko Uganda.
Bunge la Uganda lalaani ukiukwaji wakati wa uchaguzi
Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameiagiza kamati ya bunge kuchunguza visa vya ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi cha uchaguzi. Aidha, bunge hilo limehoji mwendelezo wa kamatakamata ya raia bila wao kufikishwa mahakamani, hali ambayo wanaelezea inazidi kuwaweka jamaa na marafiki katika hofu na mashaka. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alituletea ripoti hii. Sikiliza.
Bunge la Uganda lalaani ukandamizaji wakati wa uchaguzi
Bunge la Uganda limehoji mwendelezo wa kamatakamata ya raia na kutofikishwa mahakamani hatua inayoibua mashaka zaidi.
Maoni: Uganda baada ya uchaguzi
Kipindi cha Maoni safari hii kinatathmini yaliyojiri nchini Uganda katika uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 14. Rais Museveni aliibuka mshindi tena kuwa rais. Waganda wana matarajio gani? Sikiliza mitizamo mbalimbali ya wachambuzi kwenye Meza ya Duara. Nahodha ni Zainab Aziz.
Shirika la HRW lasema uchaguzi wa Uganda ulikumbwa na vurugu
HRW: Visa vya mauaji, kukamatwa na kupigwa kwa wafuasi wa upinzani vilishuhudiwa Uganda
Umoja wa Ulaya wakosoa ukandamizaji wa upinzani Uganda
Umoja wa Ulaya umeelezea masikitiko juu ya unyanyasaji na ukandamizwaji uliofanyiwa wanasiasa wa upinzani Uganda
Bobi Wine kusalia kizuizini bila kikomo
Wasemaji wa jeshi na polisi nchini Uganda wamesema mpinzani wa rais Yoweri Museveni Robert Kyagulanyi Bobi Wine ataendelea katika kizuizi cha nyumbani kwa muda usiojuliakana.
Uganda yarejesha mawasiliano ya inteneti
Mawasiliano ya mtandao yalirejeshwa Jumatatu nchini Uganda siku tano baada ya kusitishwa kote nchini kabla ya uchaguzi.
Maoni: Ushindi wa Museveni ni wa mashaka
Tume ya uchaguzi nchini Uganda ilimtangaza rais Yoweri kuwa mshindi. Bobi anapinga ushindi huo. Vijana wasikate tamaa.
Matokeo rasmi ya uchaguzi Uganda kutangazwa jioni
Tume ya Uchaguzi nchini Uganda inaendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 14.
Bobi Wine ayapinga matokeo ya uchaguzi
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amedai ushindi katika uchaguzi wa rais, na kutupilia mbali matokeo ya awali yanayomuonyesha rais Yoweri Museveni akiongoza kwa tofauti kubwa.
Uganda yafanya uchaguzi mkuu
Makala ya Afrika Wiki Hii inaangazia kwa upana uchaguzi wa nchini Uganda na mengineyo yaliyjotkeza na kugonga vichwa vya habari kote Barani Afrika. Sikiliza hapa kusikia makala hiyo na kujua mengi zaidi.
Maoni: Uchaguzi wa Uganda ni fursa iliyopotea
Maoni: Uchaguzi wa Uganda ni fursa iliyopotea
Museveni aongoza matokeo ya awali nchini Uganda
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Uganda yanaonesha rais Yoweri Museveni anaongoza dhidi ya Robert Kyagulanyi.
Zoezi la kuhesabu kura laanza Uganda
Waganda watekeleza zoezi la uchaguzi wa rais na bunge
Athari za kukatwa kwa mawasiliano ya Intaneti Uganda
Kukatwa kwa mawasiliano ya intaneti kumesababisha madhara makubwa nchini Uganda, na miongoni mwa waathirika ni waandishi wa habari ambao kwa kiasi kikubwa wanatumia teknolojia hiyo. Kuhusu namna walivyoumizwa na hatua hiyo, Lilian Mtono amezungumza na mhariri wa shirika la habari la Uganda la URN Ahmed Wetaka na kwanza anazungumzia athari hizo
Hali ilivyokuwa katika wilaya ya Mbarara, Uganda
Rais Yoweri Museveni amepiga kura katika kijiji chake cha Rwakitura katika wilaya ya Mbarara kusini magaribi mwa Uganda, ambako pia ni ngome yake. Daniel Gakuba amezungumza na mmoja wa madiwani katika wilaya hiyo, Imam Shafi Senyonga, ambaye anasema yamejitokeza matatizo, lakini akianza kueleza yaliyotokea katika kituo ambacho Museveni alipiga kura katika kijijini cha Rwakitura.
Mgombea Norbert Mao azungumzia mchakato mzima wa uchaguzi
Lilian Mtono amepata nafasi ya kuzungumza na mmoja wa wagombea urais kwenye uchaguzi mkuu nchini Uganda Norbert Mao, anayegombea kupitia chama cha Demokrasia ama DP. Kwanza anazungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kipindi cha kampeni.
Sikiliza ujumbe wa Bobi Wine baada ya kupiga kura
Msikilize mgombea wa Urais nchini Uganda wa chama cha Robert Kyagulanyi Ssentamu - Bobi Wine, akizungumza na waandishi habari baada ya kupiga kura yake. Bobi Wine ameitolea mwito tume ya uchaguzi Uganda kuheshimu maamuzi ya watu wa taifa hilola Afrika Mashariki.
Raia wa Uganda kuchagua Rais na Bunge jipya
Raia nchini Uganda wanapiga kura leo Jumanne kuchagua rais mpya pamoja na wabunge.
Ni Museveni au Bobi Wine Uganda?
Raia wa Uganda wamejitokeza kwa wingi kupiga kura zao leo katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali ambapo ra
UN, Marekani zaishinikiza Uganda kuhusu haki za binadamu
Rais Museveni ameamuru kufungwa kwa mitandao ya kijamii kuelekea uchaguzi huo, huku waangalizi wengi wakikataliwa.
Rais Yoweri Museveni afungia Facebook nchini Uganda
Museveni afungia Facebook na mitandao mingin ya kijamii kuelekea uchaguzi mkuu
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 13.01.2021
VIDOKEZO: Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence akataa kutumia ibara ya 25 ya katiba ya nchi hiyo kumuondoa Rais Trump madarakani:// Rais wa Uganda Yoweri Museveni afungia mitandao ya kijamii nchini humo kuelekea uchaguzi mkuu hapo kesho.// Waziri wa mambo ya nchi za nje Mike Pompeo aituhumu Iran kwa kuunga mkono mtandao wa kigaidi al-Qaeda.
Pazia la kampeni lafungwa nchini Uganda
Muda wa kampeni za uchaguzi nchini Uganda umemalizika na kinachosubiriwa sasa ni zoezi la uchaguzi litakalofanyika siku ya Alhamisi. Lakini taharuki inazidi kufuatia matumizi ya mitandao na majukwaa ya kijamii kuwa yenye matatizo huku askari polisi na majeshi wakionekana kuongezeka katika mitaa na barabara za miji.
Upinzani Uganda waapa kuzuia wizi wa kura
Wagombea wakuu wa upinzani katika uchaguzi wa Alhamisi nchini Uganda wameazimia kushirikiana katika kulinda kura zao kwa pamoja. Aidha wamefafanua kuhusu mkakati wao wa kumuunga mkono mwenzao atakayepata kura nyingi ikiwa uchaguzi huo utaingia katika duru ya pili.
Waangalizi: Hatutaingilia taratibu za uchaguzi Uganda
Waangalizi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya IGAD wamesema hawatoingilia taratibu za uchaguzi Uganda.
Watakaosababisha vurugu wakati wa uchaguzi waonywa Uganda
Waandishi habari oia wapo matatani Uganda
Je uchaguzi utakuwa wa huru na haki Uganda?
Rais Museveni anaamini kuna watu wanaopanga kuiba kura katika uchaguzi ujao
Hali ya taharuki siku chache kabla ya uchaguzi Uganda
Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu, mjadala umeibuka kuhusu nafasi ya jeshi la Uganda kwenye kuelekea upigaji kura baada ya baadhi ya maafisa wake kunukuliwa hadharani wakisema itakuwa vigumu kuruhusu mwanasiasa wa upinzani kuchukua hatamu za uongozi. Matamshi kama hayo yanazusha wasiwasi kiasi gani kuelekea uchaguzi? Rashid Chilumba amezungumza na mchambizi wa siasa za Uganda Ali Mutasa
Wapiga kura Uganda wahakiki vituo vyao
Wapiga kura nchini Uganda wamo katika pilikapilika za kuhakikisha kuwa majina yao yamo kwenye daftari la shughuli hiyo itakayofanyika Alhamisi tarehe 14 mwezi huu wa Januari 2021.#Kurunzi 07/01/2021
Wanaharakatiwa haki za binaadamu wahofia usalama wao Uganda
Bobi Wine aihamishia familia yake nchini Marekani
Uganda: Upinzani wazindua jukwaa la kufuatilia uchaguzi
Upinzani wakosoa utawala kwa kulihusiha jeshi katika zoezi la uchaguzi
Viongozi wa dini Uganda wataka uchaguzi uahirishwe
Viongozi wa dini Uganda wataka uchaguzi wa rais uahirishwe kwa sababu za Covid-19 na pia vurugu
Wapigakura 3000 huenda wasishiriki uchaguzi Uganda
Wakaazi wa kijiji cha Apaa wamenyimwa haki zao kwa zaidi ya miaka 10
Museveni akosolewa kuhusu kumteua mwanae
Hatua ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kumteua tena mwanae Luteni Jenerali Muhoozi Kaine-rugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha ulinzi wa rais imeibua mjadala hasa wakati huu Uganda inapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Wadadisi wa kisiasa wanasema Museveni amechukua hatua hii kuhakikisha anawaweka watu anaoamini watatimiza maagizo yake. Lubega Emmanuel alituletea ripoti.
15.12.2020 Matangazo ya Jioni
Wenye mzio wadhurika na chanjo ya Pfizer, Uingereza/ Kenya na Somalia zimeingia kwenye kipindi kigumu cha uhusiano baada ya purukushani za kidiplomasia/ Bobi Wine avutana na tume ya uchaguzi huko Uganda/ Burundi: Polisi imewaokoa wanawake na wasichana zaidi ya 100 waliokuwa wameandaliwa kusafarishwa kimagendo/ Kivu Kusini: Zaidi ya watu 50,000 wanatajwa kuathirika na mafuriko ya mvua mkubwa
Bobi Wine avutana na tume ya uchaguzi huko Uganda
Bobi Wine avutana na tume ya uchaguzi huko Uganda
14.12.2020 Matangazo ya Jioni
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amelihutubia taifa lake katika Risala ya Hali ya Nchi / Kwa mara ya kwanza katika historia tangu kuingia madarakani, Rais wa Somaliland anaizuru Kenya rasmi/ Waandishi wa habari wa ndani na wa kigeni nchini Uganda wameagizwa kujisajili upya ikiwa umesalia mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu/ Kamati ya "Electoral College" kumchagua rasmi Biden
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Wasiwasi huo wa kuongezeka umasikini arani Afrika ni kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.
Uganda kufunga akaunti za ya mashirika ya kiraia?
Serikali ya Uganda inadaiwa kuamuru kufungwa akaunti za benki za karibu mashirika manne ya kiraia yanayojihusisha na kusimamia utawala bora na uchaguzi. Gazeti la Daily Monitor limesema mashirika hayo yanadaiwa kushirikiana na upinzani. Mchambuzi wa siasa wa Uganda Ally Mutasa alizungumza na Rashid Chilumba kuhusu hili, msikilize.
Mgombea wa upinzani Uganda alalamikia unyanyasaji wa polisi
Mgombea upinzani wa Uganda alalamikia unyanyasaji wa polisi
Uganda: Viongozi wa upinzani wahangaishwa na polisi
Viongozi wa upinzani Uganda wahangaishwa na polisi na jeshi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 2
Ukurasa unaofuatia