Tarehe 4 Agosti, raia wa Rwanda watapiga kura kumchagua rais wa nchi. Katika kipindi cha Maoni, Mohammed Khelef na washiriki wanajadili: Nini nafasi halisi ya demokrasia kwenye taifa hili ambalo licha ya udogo wake na historia yake, bado limejijenga kuwa na ushawishi mkubwa kimataifa?