1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafuzi wa maji umechangia samaki kupungua ziwa Victoria

Thelma Mwadzaya13 Julai 2020

Idadi ya samaki katika ziwa Victoria imepungua sana katika kipindi cha miaka ya karibuni. Wataalamu wanasema uchafuzi wa maji ya ziwa hilo ni sababu kubwa inayochangia samaki kupungua na hata baadhi ya samaki kuanza kuadimika. Ungana naye thelma Mwadzaya katika makala ya Mtu na Mazingira akigusia uhaba wa samaki ziwani Victoria.

https://p.dw.com/p/3fDuX