TeknolojiaUbunifu wa kiusalama KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojia20.01.202220 Januari 2022Kujihisi kuwa salama hufanya biashara na hata afya yako kunawiri. Brian Kimani anaamini hivyo. Kijana huyu kutoka Kenya amevumbua kifaa cha usalama kufanya ujihisi salama ukiwa kazini na nyumbani wakati wowote.https://p.dw.com/p/45q40Matangazo