Nchini Uganda, wakulima wanapenda kutumia mbegu za asili kuliko za dukani. Je ni kwa nini? Ili kuweza kuwa na mbegu zinazotosheleza mahitaji yao, wakulima wadogo vijijini wamebuni vyama vyao vya akiba ya mbegu. Lubega Emmanuel na mengi zaidi kwenye vidio hii ya Kurunzi.