Tunatafuta Neno la Mwaka 2024
12 Novemba 2024Matangazo
Neno langu la Mwaka ni …
…
…
…
…
…
Mshindi atapokea seti ya zawadi kutoka DW, ikijumuisha begi, mkoba wa safari, mfuko wa kuhifadhia vifaa vya kujiremba, kofia, na kifaa cha kupanga funguo.
Tarehe ya mwisho ya kushiriki ni Desemba 5, 2024.
Masharti na vigezo vyetu (kwa Kiingereza) yanatumika.