Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Félix Tshisekedi amezindua kazi ya ujenzi kwenye bandari ya kina kirefu ya Banana ambayo itakuwa ya kwanza kabisa ya aina yake katika nchi hiyo ambayo itaiunganisha na ulimwengu na hivyo kupunguza utegemezi wa DRC kwa majirani zake. Bandari hiyo iko katika mkoa wa Kongo Central. Kwa maelezo kamili, tuungane na Jean Noël Ba-Mweze kutoka Kinshasa.