1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tshisekedi asikitishwa na kifungo cha Kamerhe

2 Julai 2021

Rais Félix Tshisekedi ameelezea masikitiko yake kwa hukumu ya kifungo cha miaka 13 jela dhidi ya aliyekuwa msimamizi mkuu wa ofisi yake, Vital Kamerhe. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Jean Noel Bamweze.

https://p.dw.com/p/3vviI