SiasaTrump aitoa Marekani makubaliano ya nyuklia ya IranTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaIddi Ssessanga09.05.20189 Mei 2018Rais Donald Trump ametangaza kuitoa Marekani katika mkataba wa kimataifa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, na kutangaza kurejesha vikwazo vikali vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo. Iran na mataifa washirika wa Marekani wanasemaje?https://p.dw.com/p/2xQPNMatangazo