RaisTrump asema China inaendeleza biashara bila kuzingatia usawa na kuionea kibiashara Marekani,Nchini Uhispania spika wa bunge lililovunjwa la Catalonia afikishwa mahakama ya juu na Tuzo za muziki wa midundo ya Kiafrika AFRIMA kutolewa wikendi hii huko Nigeria.Papo kwa Papo 09.11.2017