Timu ya taifa ya soka la ufukweni imefungua vibaya pazia la michuano ya COSAFA. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inaangazia mchezo wake wa pili wa kirafiki ulio katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa, FIFA. Sikiliza ripoti ya Mhindi Joseph.