Mtandao maarufu zaidi kwa vijana wa TikTok katika siku za karibuni umekumbwa na changamoto na hasa baada ya baadhi ya mataifa ya Ulaya na Marekani kuwazuia watumishi wa ofisi za umma kuutumia mtandao huo na kuondoa app yake kwenye simu ama kompyuta za kazini. Nini kinafuatia kutokana na hatua hii? Ungana na Sylvia Mwehozi kwenye makala hii ya Sema Uvume.