AfyaTiba ya mionzi yaweza kutibu corona?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya06.05.20206 Mei 2020Wataalamu wa afya wakiwemo wanasayansi na madaktari wanaendelea kujikuna vichwa wakitafuta dawa au chanjo dhidi ya virusi vya corona. Lakini je wanasema nini kuhusu tiba ya mionzi? Daktari Christian kutoka hospitali ya chuo kikuu cha Bonn anajibu.https://p.dw.com/p/3brlMMatangazo