Wiki hii Sylvia Mwehozi amekuandalia taarifa inayohusiana na programu ya Chatbot inayotumia teknolojia ya akili ya kubuni AI ili kusaidia kujibu maswali ya wanawake juu ya afya ya uzazi na unyanyasaji kingono. Na watafiti katika chuo kikuu kimoja huko huko India, wanaifanyia utafiti teknolojia ya kufungua simu kwa kupumua. Sikiliza Makala hii.