Teknolojia ya akili bandia inaelekea kuwa uhalisia wa ulimwengu wa sasa na kumekuwa na mchanganyiko wa hofu na matarajio ya kile kinachoweza kuletwa na teknolojia hii kwa maendeleo ya kibinaadamu, usalama, maadili na ajira. Mohammed Khelef amezumgumza na mtaalamu huru wa mitandao, Gwamaka Mwasange kutoka Tanzania.