Nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri. Kwa mara ya kwanza nafasi ya waziri wa Ulinzi amewekwa mwanamke-Bi Stergomena Tax. Je mabadiliko hayo yana maana gani kwa Tanzania? Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi kutoka Tanzania, Nassor Kitunda na kwanza anatoa mtazamo wake kuhusu hatua ya Rais Samia.
https://p.dw.com/p/40FZN
Matangazo
Ikumbukwe kuwa Bi Stergomena Tax aliwahi kuwa katibu mtendaji katika jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC.