Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameendelea kushikilia msimamo wake wa kukataa kujiuzulu baada ya jeshi kuidhibiti nchi hiyo // Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ameahidi kupunguza matumizi ya nishati inayotokana na makaa ya mawe // Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelikataa azimio la Marekani la kuanzisha upya uchunguzi wa kimataifa kuhusu mashambulizi ya kemikali nchini Syria.