1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarehe 26,11, 2017-Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
26 Novemba 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Wafuasi wa itikadi kali waendelea na maandamano Islamabad// Misri bado yaomboleza shambulizi lililowaua watu 305// Chama cha CDU- Ujerumani kukutana kujadili mkwamo wa kisiasa katika kuelekea kuunda serikali ya muungano.

https://p.dw.com/p/2oHpn