Tuliyo nayo ni pamja na : Kansela Merkel aongoza utafiti wa maoni katika kuelekea uchaguzi wa Jumapili Septemba 24// Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May aomba miaka miwili Uingereza kusalia katika soko la pamoja baada ya Brexit// Rais wa Ufaransa Emanuel Macron asaini amri tano kuzifanyia marekebisho sheria za kazi.