Tuliyo nayo ni pamoja na: Kiongozi wa chama cha SPD Ujerumani Martin Schulz awataka wanachama wa chama hicho kuunga mkono mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano// Ufaransa yatoa mwito kwa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Afrin Syria// Watu watano wauawa wakati wa maandamano kupinga serikali ya rais Kabila.