Tuliyo nayo ni pamoja na : Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura juu ya rasmu kuhusu hadhi ya Jerusalem// Utafiti mpya waonesha waingereza wengi wanataka kusalia kwenye Umoja wa Ulaya// Horst Seehofer achaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama cha CSU.