AfyaTanzaniaHoma ya ini duniani: Tanzania yaligeukia kundi la wauguziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaTanzania28.07.202328 Julai 2023Tanzania inaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya homa ya ini duniani kwa kuwafanyia vipimo wauguzi wake pamoja na kuwapatia chanjo kwa kuwa wauguzi ni miongoni mwa kundi lililo hatarini kupata ugonjwa huo kwa njia ya maambukizi. https://p.dw.com/p/4UVi3Matangazo