1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaanzisha operesheni dhidi ya wahamiaji haramu

Hawa Bihoga
24 Machi 2022

Katika mahojiano na DW idara ya uhamiaji nchini Tanzania imesema katika oparesheni inayokwenda kwa jina la sakasaka haijalenga kuwaondoa watu kutoka mataifa jirani ambao wapo nchini kisheria. Sikiliza mahojiano hayo.

https://p.dw.com/p/48zhH