JamiiTanzania: Uwekezaji Mdogo Unavyowanyanyua Wasiojua KusomaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii25.06.202025 Juni 2020Kutana na kundi la wakaazi wa Selela wilaya ya Monduli Tanzania wanatumia lugha ya picha ili kutunza kumbukumbu katika uwekezaji wao wa fedha, mbinu hii wameitaja kuwa msaada mkubwa katika kufikia malengo yao. https://p.dw.com/p/3eKsaMatangazo