SiasaTanzania: Siku 100 za Samia - Uhuru wa mahakamaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari23.06.202123 Juni 2021Katika mfululizo wa ripoti zetu kuhusiana na siku mia moja za kwanza za uongozi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tunaangazia mabadiliko na uhuru katika idara ya mahakama chini ya uongozi wa rais huyo. Wakili Mkindi Khamis anazungumza na DWhttps://p.dw.com/p/3vRYxMatangazo