Tanzania: Profesa Lipumba azungumzia mzozo wa Gesi
29 Januari 2013Matangazo
Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa jeshi la polisi limevuka mipaka ya utendaji wake na wakati mwingine hutumia nguvu isivyo lazima na hivyo kusababisha athari kubwa kwa wananchi.
Kutoka Dar es Salaam , George Njogopa anaarifu zaidi na kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman