1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mgogoro ndani ya chama cha CUF

22 Februari 2012

Nchini Tanzania chama cha wananchi CUF kimeanza kukabiliwa na hali ya mkwamo wa kisiasa huku baadhi ya wanachama wake muhimu ikiwemo viongozi wakianza kukitupa mkono, wakijiaanda kuanzisha chama kipya cha siasa.

https://p.dw.com/p/147QL
Bendera ya chama cha upinzani CUF nchini Tanzania
Bendera ya chama cha upinzani CUF nchini TanzaniaPicha: Mohammed Khelef

Hatua hiyo inafuatia sokomoko la hivi karibuni la chama hicho kumvua uanachama, mbunge wake mashuhuri Hamadi Rashid,ambaye naye anatajwa kuwa nyuma ya uanzishwaji wa chama hicho kipya.

Kutoka Daressalaam, George Kanut Njogopa anatupia jicho hali ya kisiasa ndani ya chama hicho.

(Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Josephat Charo