Tanzania: Ajali ya Meli Zanzibar
19 Julai 2012Matangazo
Katika tukio hili kubwa katika eneo la Afrika Mashariki Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wa kujitegemea Jery Muro, Muda mfupi baada ya kutoka katika eneo la ajali mahala ambapo shughuli za uokozi zinaendelea.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef