1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tamko la serikali ya Uganda kuhusiana na mkataba wa Roma

18 Septemba 2013

Kuna habari kutoka serikali ya Uganda kwamba Umoja wa Afrika utajadili uwezekano wa baadhi ya nchi zake kujiondoa katika mkataba wa Roma ambao unaunda mahakama hiyo katika mkutano wake unatarajiwa kufanyika mwezi ujao

https://p.dw.com/p/19jvn
Mahakama ya ICC nchini Uholanzi
Mahakama ya ICC nchini UholanziPicha: Getty Images

Nikumbushe kwamba kuna mataifa 34 ya afrika ambayo yamesaini mkataba huo. Kutoka mjini Nairobi Kenya Sudi Mnette alizungumza na mkurugenzi mkuu wa asasi ya kimataifa inayojishughulisha na sera barani Afrika, Peter Kagwanja na kwanza alitaka kujua hatua hiyo itakuwa na athari gani kwa ICC.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Yusuf Saumu