Rais Donald Trump asaini sheria kuwekea China vikwazo na pia amri ya kumaliza uhusiano wa Marekani unaopendelea Hong Kong. // Mamilioni ya watu ulimwenguni walazimika kukaa tena majumbani kufuatia ongezeko la virusi vya corona. // Zambia yakanusha madai kwamba Rais Lungu aliwafadhili waasi wa Rwanda kuupindua utawala wa Rais Paul Kagame