Ujerumani yapanga kuwachukuwa watoto wadogo walioathirika na mkasa wa moto katika kambi ya wakimbizi ya Moria nchini Ugiriki, mwanaharakati maarufu wa upinzani nchini Belarus Maria Kolesnikova aishtumu serikali ya nchi hiyo kwa kutishia kumuua na Marekani yaliambia baraza la usalama la UN kwamba itashirikiana na washirika wake kuwachukulia hatua waliohusika kumpa sumu Alexei Navalny