Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lapiga kura kwa wingi kuitaka Urusi isitishe vita nchini Ukraine, mashirika ya misaada hayahitaji tena kibali kutoka kwa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya kupeleka bidhaa na huduma za kibinadamu nchini Syria na tume ya uchaguzi nchini Nigeria yasema imepokea pesa inayohitaji kuendeleza uchaguzi utakaofanyika kesho Jumamosi