1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 29.07.2023

29 Julai 2023

Rais wa Urusi Vladmir Putin apongeza jukumu la Afrika linalopanuka katika masuala ya kimataifa, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, kuongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi nchini Niger na Trump aapa kubakia katika kiny'ang'anyiro cha urais

https://p.dw.com/p/4UWzu