Kundi la mamluki wa Urusi la Wagner lasema wapiganaji wake wamevuka mpaka kutoka Ukraine kuingia Urusi, takriban watu 40 hawajulikani walipo baada ya boti ya wahamiaji kupinduka katika kisiwa cha Lampedusa nchini Italia na benki ya Dunia yaidhinisha mpango wa dola milioni 700 kwa Mexico kukuza sera za umma