Serikali ya Marekani yalaani vikali unyanyasaji wa kikatili dhidi ya waandamanaji na wanahabari nchini Urusi waliokuwa wakiandamana, muda wa mwisho uliowekwa kwa vikosi vya kijeshi vya kigeni kuondoka nchini Libya wakamilika bila ya kuwepo kwa dalili yoyote na waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnsosn asema anatarajia kushirikiana na rais wa Marekani Joe Biden katika malengo yao ya pamoja