1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 20.02.2022

20 Februari 2022

Katibu mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Jens Stoltenberg, asema kuwa Urusi inawezakana kuwa inapanga shambulio kamili dhidi ya Ukraine, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amuhimiza mwenzake wa Iran Ebrahim Raisi kukubali mpango wa kufufua mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 na Ethiopia leo kuanza kufua umeme kutoka kwenye bwawa lake la The Grand Ethiopian Renaissance

https://p.dw.com/p/47Iej