Ujerumani yaweka masharti mapya ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.//
Kenya yatangaza kuimarisha usalama baada ya kukamatwa kwa wafungwa hatari waliotoroka jela.//
Maafisa wa usalama nchini Uganda wamuua kiongozi mmoja wa kidini kufuatia misako ya baada ya mashambulizi ya mabomu