Makumi ya waandamanaji wauawa nchini Kazakhstan.//
Rais wa Marekani Joe Biden amlimbikizia lawama mtangulizi wake kwa kueneza uwongo mwingi kuhusu uchaguzi uliopita nchini humo.//
Spika wa bunge nchini Tanzania ajiuzulu baada ya kutofautiana kauli na rais kuhusu mikopo ya taifa.