VIDOKEZO:
Rais Joe Biden akutana na viongozi wa nchi za NATO zilizoko upande wa mashariki mwa Ulaya.//
Umoja wa Mataifa wasema Mwanamke mmoja hufa kila baada ya dakika 2 kutokana na ujauzito na matatizo ya kujifungua.//
Ujerumani yawatimua wajumbe wawili wa Iran kufuatia hukumu ya kifo dhidi ya raia wake.