Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atoa wito wa kusitishwa kwa mapigano kote ulimwenguni, waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson atoa sheria ya kuwataka watu wabakie majumbani na Marekani kupunguza dola bilioni moja za msaada kwa Afghanistan.