Mawaziri wa serikali ya Uingereza wanaripotiwa kupanga kumlaazimisha waziri mkuu Theresa May kuachia madaraka. Rais Donald Trump asifu ushindi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu nchini Syria. Juhudi za uokozi zaingia wiki ya pili kufuatia kimbunga Idai kusini mashariki mwa Afrika.