1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 23.03.2020

23 Machi 2020

Idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na mripuko wa virusi vya corona yaongezeka duniani, kansela wa Ujerumani Angela Merkel ajiweka chini ya karantini na Afrika yapokea msaada mkubwa wa bidhaa za kusaidia kudhibiti virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3ZtJy