Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi wa Palestina lasitisha usambazaji wa chakula mjini Rafah+++Rais Zelensky asema Ukraine inapata mafanikio ingawa hali bado ni ngumu uwanja wa vita+++Watu wasiopungua 85 wafariki katika mapigano ya El-Fasher mkoani Darfur.