1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa Ya Habari za Asubuhi: 19.11.2022

19 Novemba 2022

Kenyatta na Kagame waitaka M23 kusitisha mapigano na kujiondoa mashariki mwa Kongo. Korea Kaskazini yatishia kutumia bomu la atomiki ikiwa itashambuliwa. Bado hakujapatikana makubaliano ya mwisho katika mazungumzo ya COP27.

https://p.dw.com/p/4Jlht