Shirika la ujasusi Marekani lathibitisha kwamba Mwanmfalme Mohammedbin Salman wa Saudi Arabia ndiye alieamuru mauaji ya Khashoggi. Umoja wa Mataifa wasema watu milioni 3.5 wanahitaji chakula kutokana na ukame Afghanistan. Ujumbe wa askari wa kulinda amani wa MINUSCA waongezewa muda katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.