Umoja wa Ulaya wapinga nia ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kujitoa katika makubalaino ya kimataifa yanayoihusu Iran na mpango wake wa nyuklia. Waziri wa fedha wa Ujerumani atetea biashara katika mkutano wa IMF. Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan asema wakimbizi wa Myanmar wa jamii ya Rohingya lazima warudi nyumbani.