1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 13.03.2017

Yusra Buwayhid
13 Machi 2017

Miongoni mwa taarifa: waziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Mevlut Cavusoglu afanya mkutano wa hadhara Ufaransa. Vikosi vya Iraq vimekomboa asilimi 30 ya mji wa Mosul. Wanajeshi waandamani kudai mishahara nchini Somalia.

https://p.dw.com/p/2Z4qD